NENO

Kuhusu Neno Bible Challenge

Neno ni mchezo wa maswali ya Biblia kwa Kiswahili na Kiingereza. Lengo ni kujifunza Neno la Mungu kwa kucheza, kila siku, pamoja na marafiki, familia na kanisa lako. Kila jibu linakuonyesha mstari wa Biblia unaohusika ili uweze kusoma zaidi.

About

Neno is a Bible quiz game in Kiswahili and English. Every answer shows the verse it comes from, so playing leads to reading. Questions are written in our own words and checked against the text.

Biblia / Bible texts

Neno Bible Challenge · Righteous International Company Ltd (RIC), Tanzania.